Askofu Muheria awasuta wanasiasa wanaotumia madhabahu kueneza chuki nchini

  • | Citizen TV
    970 views

    Askofu Mkuu Wa Kanisa Katoliki, Dayosisi Ya Nyeri Anthony Muheria, Amewasuta Wanasiasa Wanaotumia Madhabahu Na Hafla Za Mazishi Kueneza Chuki Na Kuleta Mchawanyiko Nchini Akisema Kuwa Huo Ni Ukosefu Wa Maadili. Muheria Pia Amezidi Kukashifu Visa Vya Utekaji Nyara Nchini Na Kuitaka Serikali Kutotumia Nguvu Kupita Kiasi Kupambana Na Wakosoaji Wake.