Kura Za Ukambani Zinapiganiwa Tena? Kunani?

  • | TV 47
    592 views

    Kura Za Ukambani Zinapiganiwa Tena? Kunani?

    Hisia mseto zimeibuka baada ya mkutano ulioandaliwa na Waziri Wa Leba Dr. Alfred Mutua wikendi hii, siku chache baada ya jamii ya wakamba kukaribishwa kwenye muungano wa jamii maarufu kama Gema.

    Waziri Alfred Mutua kwenye mkutano huo akisisitiza umuhimu wa umoja kwa jamii ya wakamba inaibua maswali, Je, kura za ukambani zinapiganiwa tena? Kunani?

    #TV47Wikendi #TV47Weekend

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __