Muturi akashifu visa vinavyodaiwa vya utekaji nyara

  • | KBC Video
    303 views

    Waziri wa utumishi wa umma Justin Muturi amekashifu visa vinavyodaiwa vya utekajinyara wa baadhi ya wanaharakati wa mtandao wa kijamii ambao wanaikosoa serikali. Ingawa serikali imekanusha kuhusika katika visa hivyo, Muturi aliwakosoa maafisa wa usalama kwa kukosa kukomesha uovu huo. Mwanasheria mkuu huyo wa zamani alisimulia masaibu ambayo familia yake ilipitia baada ya mwanawe wa kiume kutekwa nyara mwezi Juni mwaka 2024, akisema wengi wanaishi kwa hofu katika nchi yao.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive