24 Oct 2025 10:34 am | Citizen TV 192 views Duration: 2:23 Zaidi ya watu 100 wenye ulemavu katika Kaunti ya Migori wamepokea usaidizi wa kuimarisha biashara zao na kuboresha maisha yao kupitia usaidizi kutoka kwa shirika la Light for the World.