Mwanaharakati wa Tanzania Maria Sarungi amehusisha tukio la kutekwa kwake nchini Kenya na ukosoaji wake wa serikali ya Tanzania.
-
Akizungumza na BBC siku moja baada ya kuachiwa, alisema watekaji hao walimuuliza ikiwa anahofia kuvushwa upande wa pili wa mpaka. Maria ni mkosoaji mkubwa wa serikali ya Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, na ameishutumu serikali yake kwa kurudisha "udhalimu" nchini humo.
-
Amezungumza na mwandishi wa BBC Peter Mwangangi, na alianza kwa kueleza kuhusu utekaji huo uliotokea jana Jumapili.
-
Serikali ya Tanzania haijazungumzia kisa hiki hadi kufikia sasa
-
-
#bbcswahili #tanzania #siasa #uongozi #kenya #mwanaharakati
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
4 Jul 2025
- Russia launched its largest-ever drone and missile attack on Ukraine overnight on Friday just hours after a telephone call between US and Russian presidents ended without any breakthrough.
4 Jul 2025
- Russia said on Thursday it had accepted the credentials of a new ambassador of Afghanistan, making it the first nation to recognise the Taliban government of the country.
4 Jul 2025
- A family in Rukanga village, Mutithi Ward in Kirinyaga County has been left in shock after Wednesday's tragic road accident, which claimed three members of their family along the Mwea-Embu highway.
4 Jul 2025
- Former President of the Law Society of Kenya (LSK) Nelson Havi has moved to court seeking to have a three-judge bench step aside from hearing and determining seven consolidated petitions seeking the removal of all Supreme Court judges. Through a…
4 Jul 2025
- Homa Bay Governor Gladys Wanga has reaffirmed ODM’s place in the broad-based government, stating that the party remains committed to championing social justice and delivering development for all Kenyans.
4 Jul 2025
- Gor Mahia Football Club has officially advertised the head coach position, just days after parting ways with interim tactician Zedekiah ‘Zico’ Otieno. The announcement, made via the club’s official social media platforms on Friday, July 4, 2025, comes as…
4 Jul 2025
- A lawyer and politician, Paul Muite has joined the growing number of Kenyans criticising the government over the construction of a new church at State House, Nairobi. His concerns add fuel to an ongoing public debate about the government’s priorities…