- 491 viewsDuration: 3:01Maafisa wa kliniki katika Kaunti ya Marsabit wamelalamikia maisha yao kuwa magumu kazini baada ya kukosa mishahara, kukosa bima ya afya, na ahadi zisizotekelezwa, hali inayowaacha madaktari na wagonjwa katika mateso. Haya yamedhihirika wazi walipoelezea masaibu yao kwenye kikao na wanahabari wakati mgomo wao ulioingia wiki ya nne.