24 Oct 2025 1:18 pm | Citizen TV 288 views Duration: 2:16 Serikali ya kitaifa kupitia kwa wizara ya fedha na mipangilio ya kiuchumi inalenga kutoa mafunzo kwa maafisa wa serikali wakiwemo wa utawala kuhusu jinsi ya kurekodi hatua za maendeleo katika maeneo mbali mbali nchini.