Skip to main content
Skip to main content

Katibu wa leba Shadrack Mwadime ahamasisha vijana kuhusu mpango wa Nyota Taita Taveta

  • | Citizen TV
    305 views
    Duration: 1:30
    Katibu katika wizara ya leba nchini Shadrack Mwadime ameongoza shughli ya kuhamasisha vijana kuhusu mpango wa Nyota ambapo vijana watapata nafasi ya kujiendeleza ki biashara kutokana na fedha watakazopata kutoka kwa serikali.