- 391 viewsDuration: 1:48Maelfu ya vijana katika kaunti ya Tharaka Nithi waliitikia mwito wa serikali ya kujisajili katika mpango unaodhaminiwa na serikali wa Nyota, unaolenga kuwanufaisha kibiashara. Kwa mujibu wa katibu wa uchumi samawati Betsy Njagi, ambaye alikuwa katika eneo la Chuka kwa shuguli ya ukaguzi wa waliojisajili, takriban vijana elfu 9 wamejisajili. Kadhalika, Betsy amesema serikali haitarudi nyuma katika mpango wa kuwapa vijana usaidizi ili kujikimu