- 465 viewsDuration: 2:08Ukosefu wa mafunzo thabiti umetajwa kama chanzo cha kuongezeka kwa ajali za barabarani zinazohusisha waendeshaji pikipiki nchini. Takwimu kutoka kwa mamlaka ya kitaifa ya uchukuzi na usalama barabarani zinaonyesha kuwa nchi kufikia sasa imepoteza zaidi ya watu elfu tatu huku zaidi ya 900 wakiwa wahudumu wa boda boda.