24 Oct 2025 1:24 pm | Citizen TV 511 views Duration: 1:11 Ni afueni kwa wakaazi katika wadi ya Keiyan eneo la Transmara Magharibi na viunga vyake baada ya serikali ya Kaunti ya Narok kuzindua rasmi hospitali ya kisasa.