24 Oct 2025 1:26 pm | Citizen TV 388 views Duration: 1:04 Baadhi ya shule katika kaunti ya Garissa zimeanza maadalizi ya mitihani wa gredi ya sita na tisa inayotarajiwa kuanza rasmi siku ya jumatatu wiki ujao.