24 Oct 2025 1:30 pm | Citizen TV 1,513 views Duration: 3:08 Mamia ya vijana wamejitokeza katika uga wa chuo anuai mjini Maralal kwenye kaunti ya Samburu,kushiriki zoezi la usaili wa utoaji mikopo ya mtaji kwa vijana wajasiriamali.