Skip to main content
Skip to main content

Msafara wa jipange na Viusasa umeingia siku ya tatu katika kaunti ya Meru

  • | Citizen TV
    821 views
    Duration: 2:46
    Msafara wa Jipange na Viusasa umeingia siku yake ya tatu katika Kaunti ya Meru. Wakazi wamejitokeza kwa wingi kukutana na watangazaji wao wanaowapenda kutoka vituo vya redio vinavyomilikiwa na kampuni ya Royal Media Services. Mashabiki Wa Viusasa wana nafasi ya kushinda zawadi za pesa taslimu hadi shilingi 50,000 kila siku, na zawadi kuu ya shilingi milioni 2, kwa kujiunga Kwa shilingi 50 pekee ili kufurahia vipindi kwenye kiunzi cha Viusasa.