- 819 views- - - - - VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
Donald Trump ataapishwa ndani ya jengo la Bunge la Marekani
- - Duniani Leo ››
- 17 Jun 2025 - Someone within government circles labelled him a prime suspect at a meeting of top officials.
- 17 Jun 2025 - The plastic waste menace birthed the idea to produce fuel from plastics, he says
- 17 Jun 2025 - According to United Nations Population Fund, persons with disabilities make up 2.2 per cent of the population — about 900,000 people.
- 17 Jun 2025 - The actual figure may be higher, as some counties did not disclose their borrowing
- 17 Jun 2025 - Imlu says underlying bad blood where NPS officers have reportedly refused to cooperate could stall investigations.
- 17 Jun 2025 - The appellate court agreed that this crucial detail had been ignored.
- 17 Jun 2025 - Thousands of civil servants serving in positions of directors and above have been left in utter shock after the government set standards that require them to have Master’s Degrees. The Public Service Commission (PSC) has sent shockwaves through the…
- 17 Jun 2025 - Last week’s high-level meeting in Changsha between China’s top diplomat Wang Yi and representatives from 53 African countries sent a powerful and optimistic message: China is moving with clarity and purpose to implement the 10-point action plan unveiled…
- 17 Jun 2025 - Christine Riaro and her all-star team of Tabitha Ojwang, Joyce Osike and Griffins Owino extended their dominance a the 12th leg of the KCB East Africa Golf Tour at Nyanza Golf Club, sealing a third consecutive victory at the Nyanza leg with a combined…
- 17 Jun 2025 - A 35-year-old fisherman died in a police holding cell at Kipasi Police Post in Suba North Constituency, Homa Bay County, raising fresh concerns over the security of individuals being detained in police custody. The incident comes after the controversial…