Wanyama kunenepeshwa kwa ARVs

  • | BBC Swahili
    1,330 views
    Watafiti nchini Tanzania wamebaini uwepo wa makaki ya dawa za kufubaza virusi vya UKIMWI kwenye nyama ya kuku na Nguruwe, chanzo ikitajwa kuwa wafugaji wasio waaminifu wanaotaka kunenepesha Nguruwe wao kwa haraka #bbcswahili #wanyama #ARV #ukimwi #ufugaji #utafiti Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw