Mvutano wa Ardhi Waendelea kwa Miezi Mitatu Mulinge, Mlolongo

  • | NTV Video
    271 views

    Mchezo wa paka na panya umezidi kushuhudiwa na wakazi wa Mulinge, eneo la Mlolongo, Kaunti ya Machakos kwa miezi mitatu sasa, kwa kile kinachodaiwa kuwa mzozo wa ardhi unaomhusisha mwekezaji wa kibinafsi na wakazi wa eneo hilo.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya