Dismas Indiza aonyesha dalili ya kushinda raundi ya nne ya mashindano ya gofu ya Sunshine

  • | NTV Video
    8 views

    Dismas Indiza ameonyesha dalili ya kushinda raundi ya nne ya mashindano ya gofu ya Sunshine ya Afrika mashariki, ambayo yanafanyika katika uwanja wa Diamonds Leisure Golf Resort mjini Diani kaunti ya Kwale.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya