- 7,461 viewsDuration: 3:01Madaktari katika hospitali ya rufaa ya Kenyatta wamefanikiwa kumrejeshea hadhi na umbo la uso wake mtoto mwenye umri wa miaka saba. Ian Baraka, alipata majeraha yaliyomharibu kabisa uso baada ya kufyatuliwa risasi na wezi wa mifugo nyumbani kwao kwenye mpaka wa meru na Isiolo.