- 8,776 viewsDuration: 2:35Wajumbe wote wa chama cha ODM kutoka eneo la Nyanza wamefanya mkutano maalum ulioongozwa na kaimu kiongozi wa chama hicho Seneta Oburu Oginga. Wajumbe hao waliafikiana kwa kauli moja kumuidhinisha rasmi Oginga kuwa kinara wa Chungwa. Wajumbe pia wamekata kauli ya kuendelea kufanya kazi na serikali.