Skip to main content
Skip to main content

Hazina ya Nyota kufadhili biashara za vijana

  • | Citizen TV
    873 views
    Duration: 2:27
    Zaidi ya wakenya laki nane wamejiwasilisha katika maeneo tofauti nchini ili kujisajili katika hazina ya shilingi bilioni 5 ya Nyota inayolenga kuwapa vijana mafunzo na shilingi 50,000 za kuanzisha biashara. Katibu wa wizara ya biashara ndogo na wastani Susan Mang'eni amesema shughuli hiyo itakamilika Jumamosi na wala sio Ijumaa kutokana na idadi kubwa ya vijana iliyojitokeza.