Skip to main content
Skip to main content

'Ninamshukuru Mungu jinsi John Heche anavyosimamia haki'- Mama Suguta Heche

  • | BBC Swahili
    52,527 views
    Duration: 1:19
    “Shida yangu kubwa ni kujua alipo mwanangu, kwasababu watoto wa watu wengi wamepotea” Mama mzazi wa kiongozi wa chama cha upinzani Tanzania CHADEMA John Heche. BBC imezitafuta mamlaka za polisi nchini Tanzania lakini hatujawapata, Juhudi zinaendelea. - - - #chadema #johnheche #bbcswahili #foryou #siasa #tanzania #uchaguzimkuu2025