- 2,300 viewsChama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinafanya uchaguzi mkuu wa nafasi ya Mwenyekiti wa chama na Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, uchaguzi uliyowakutanisha wagombea watatu wakuu: Tundu Lissu, Freeman Mbowe, na Odero Odero. Uchaguzi huu unatarajiwa kuwa hatua muhimu katika mustakabali wa chama hicho, huku wagombea wakitoa wito wa mshikamano, maridhiano, na umoja ndani ya chama kwa ajili ya kuimarisha demokrasia na maendeleo nchini. Huu ulikuwa ujumbe maalum kutoka kwa mwanasiasa mkongwe Lissu kwa wajumbe na wanachama wa mkutano huo. Ripoti ya mwandishi wa VOA, Amri Ramadhani. #uchaguzi #chadema #mwenyekiti #makamu #tundulissu #freemanmbowe #voa #voaswahili
Mbowe aeleza msingi wa uchaguzi katika demokrasia
- - Duniani Leo ››
- 17 Jun 2025 - Ruto government had promised to double allocation and raise number of beneficiaries.
- 17 Jun 2025 - Firm opposes DPP plan to withdraw Sh918m case against businessman
- 17 Jun 2025 - What Kenya can do to reduce the high number of bad loans
- 17 Jun 2025 - Gachagua credits survival to State insider network
- 17 Jun 2025 - KQ searches for new partner to set up regional airline after S Africa bolts out
- 17 Jun 2025 - Who benefits from CBK's low lending rates?
- 17 Jun 2025 - Meeting state force with care: How medics, lawyers and counsellors sprang to action
- 17 Jun 2025 - Mukhwana: I was following my boss' orders
- 17 Jun 2025 - How 'Standard' covered the Ojwang' murder
- 17 Jun 2025 - Gachagua’s critics gang up to front alternative political outfits in vote-rich region.