- 500,741 viewsBaada ya ku chukuwa mji wa Goma ambao ni mji mkuu wa Kivu kaskazini, waasi wa M23 wameanza msako wa wanajeshi wa serikali na wote walio kuwa wakishirikiana nao hasa wanajeshi kutoka Burundi na mamluki kutoka Ufarsa na Rumani . VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
Waasi wa M23 waudhibiti mji wa Goma na kuwakamata mamluki wa Jeshi la Congo na wanajeshi wa FARDC .
- - Duniani Leo ››
- - Duniani Leo ››
- - Duniani Leo ››
- 1 May 2025 - South Africa's President Cyril Ramaphosa is setting up a judicial commission of inquiry to establish whether attempts were made to prevent the investigation or prosecution of apartheid-era crimes, his office said on Wednesday.
- 1 May 2025 - Iran on Wednesday executed a man convicted of espionage for Israel's Mossad spy agency and involvement in the 2022 assassination of a Revolutionary Guards colonel, the judiciary said.
- 1 May 2025 - Swedish police detained a 16-year-old early on Wednesday on suspicion of murdering three people in a hair salon in the city of Uppsala, prosecutors said.
- 1 May 2025 - Several Kenyans have since mourned the MP, calling for swift investigations.
- 1 May 2025 - Here is what you need to know to keep up to speed with today’s happenings. Labour Day celebrations Kenyan workers are expected to convene for the Labour Day celebrations under their umbrella body, the Central Organization of Trade Unions Kenya (COTU-K),…
- 1 May 2025 - Behind luxury lies inequality and misogyny where race, class, and gender determine opportunity and dignity.
- 1 May 2025 - This year’s national Labour Day celebrations will be held at Uhuru Gardens in Nairobi. But for millions of Kenyan workers, there is little to celebrate this day, which is traditionally reserved to honour the working class and their achievements. Labour…
- 1 May 2025 - The politicians met on April 29, 2025, in Nairobi.
- 1 May 2025 - Police have issued a statement on the killing of Kasipul Member of Parliament Charles Ong’ondo. Issuing a detailed statement on Thursday, May 1, 2025, the National Police Service (NPS) noted that the MP’s murder was targeted and premeditated. The…
- 1 May 2025 - A tree-planting initiative aimed at tackling climate change and creating youth employment has been launched. The initiative by Multi Touch International (MTI) targets to plant 40 billion ecologically suitable trees, including indigenous, exotic, fruit…