Naibu Rais Kindiki asema siasa zinaathiri maendeleo

  • | Citizen TV
    799 views

    Naibu rais kithure kindiki amememtaka mtangulizi wake Rigathi Gachagua kutuliza mihemko ya kisiasa, na kuipa nafasi Serikali kutekeleza mipango na ahadi zake Kwa wakenya.