Skip to main content
Skip to main content

Mitihani ya shule za msingi na sekondari msingi yaanza

  • | Citizen TV
    301 views
    Duration: 1:18
    Mitihani ya kitaifa ya shule ya msingi na sekondari msingi imeanza. Katibu katika wizara ya elimu julis botok amesema watahiniwa milioni 2.4 wanafanya mitihani ya KPSEA na KJSEA kote nchini. bitok aliyasema hayo alipofungua kontena ya mitihani hiyo hapa jijini nairobi.