Skip to main content
Skip to main content

Usalama waimarishwa katika kaunti za Kaskazini Mashariki katika kipindi cha mitihani

  • | Citizen TV
    283 views
    Duration: 1:23
    Jumla ya wanafunzi 31,585 wa Gredi za sita na tisa wanafanya mtihani wao wa KPSEA na KJSEA hii leo katika eneo la Kaskazini Mashariki kwenye vituo vyote 1,459.