27 Oct 2025 10:26 am | Citizen TV 3,266 views Duration: 1:45 Wakuu wa usalama nchini Tanzania na Kenya wamekuja pamoja kuchukua hatua za kurejesha na kudumisha amani katika eneo la mpakani la Sirare, linalounganisha Kenya na Tanzania