27 Oct 2025 10:28 am | Citizen TV 2,145 views Duration: 3:32 Rais william Ruto ameanza ziara ya siku tatu katika kaunti ya Nakuru. Rais anatarajiwa kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo akianza na hifadhi ya msitu wa Mau eneo la Gararage.