27 Oct 2025 10:32 am | Citizen TV 220 views Duration: 1:46 Makundi ya wafanyabiashara mjini malindi kaunti ya Kilifi yamezindua mipango ya kusaidia matibabu ya wagonjwa wa saratani ya matiti katika eneo hilo kama njia mojawapo ya kukabiliana na ugonjwa huo.