- 205 viewsDuration: 3:29Mabadiliko ya tabianchi yametajwa kuwa changamoto kubwa katika uzalishaji wa mpunga eneo la pwani hasa kaunti za Taita Taveta,Kwale na Kilifi licha ya kaunti hizo kuwa na mazingira bora ya ukuzaji wa mpunga. Kulingana na utafiti uliofanywa na shirika la KARLO taifa la Kenya limekuza mpunga kwa asilimia 23 ikiwa sawa na tani milioni moja ya mchele uliozalishwa mwaka jana