- 276 viewsDuration: 3:01Miongoni mwa wanafunzi wanaofanya mtihani wa kwanza wa gredi ya tisa wa KJ-SEA ni Caleb Spencer ambaye licha ya changamoto ya kupooza, anajiunga na mamilioni ya wanafunzi wanaoanza mitihani yao hapo kesho. Caleb Spencer anasema yuko tayari licha ya kupooza miguu yake alipopata ajali kwa kuanguka kutoka mtini wiki chache zilizopita.