- 3,288 viewsDuration: 2:34Mwili unaoaminika kuwa wa msichana wa chuo kikuu cha Nairobi aliyeripotiwa kutoweka eneo la Kikuyu umepatikana katika hifadhi ya maiti ya city. Hii ni baada ya sehemu ya mwili wa mwanamke kupatikana katika msitu wa Kefri Kikuyu na kupelekwa kwenye hifadhi hiyo tarehe 17 Oktoba. Familia inasema inaandaa uchunguzi wa DNA ili kuhakikisha mwili huo ambao umeharibika kiasi cha kutotambulika.