- 4,836 viewsKikao kinachowakutanisha pamoja wakuu wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika SADC na Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC kimefanyika leo Ikulu jijini Dar es Salaam, Tanzania. Mkutano huo umejadili hali ya usalama katika eneo la mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo DRC Rais wa Rwanda, Paul Kagame, amehudhuria kikao hicho, huku Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Félix Tshisekedi, alishiriki kwa njia ya mtandao. Kikao hicho kinaongozwa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), Rais wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa, pamoja na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Rais wa Kenya, William Ruto. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan pia alikuwepo katika kikao hicho cha dharura kujadili hali ya mashariki mwa DRC. Viongozi wengine waiohudhuria mkutano huo ni Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa, Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema. Ripoti ya mwandishi wa VOA, Amri Ramadhani Picha zote na Idara ya Habari: MAELEZO #voaswahili #afrika #congo #drc #goma #m23 #sadc #eac #mawaziri #mamboyanje #marais
Viongozi wa SADC na EAC wajadili usalama katika eneo la DRC
- 16 Jun 2025 - The High Court in Isiolo issued an order stopping the impeachment of Governor Abdi Guyo pending hearing and determination of the case before it.
- 16 Jun 2025 - Four senior police officers charged in baby Samantha Pendo’s murder case have been granted a cash bail of Ksh.1 million shillings and two sureties of Ksh.500,000 each.
- 16 Jun 2025 - The drama in the county has seen some leaders who backed the motion flee.
- 16 Jun 2025 - School heads have been urged to strictly adhere to the orders.
- 16 Jun 2025 - Deputy Inspector General (DIG), Kenya Police Service Eliud Kipkoech Lagat has resigned.
- 16 Jun 2025 - Deputy Inspector General (DIG), Kenya Police Service Eliud Kipkoech Lagat has resigned.
- 16 Jun 2025 - The two officers maintain that they had no involvement in Ojwangs alleged killing, stating they were not on duty when he was booked into the Central Police Station on June 7, 2025.
- 16 Jun 2025 - The new system is meant to curb cases of fraud.
- 16 Jun 2025 - High Court upheld his sentencing to pay Sh800,000 fine or serve a year in prison.
- 16 Jun 2025 - The National Social Security Fund (NSSF) has dismissed the Auditor General’s report for the financial year ending June 2024, which flagged a series of questionable expenditures and failed investments totaling billions of shillings.