Eliud Lagat apinga mashtaka kuhusu mauaji ya Ojwang'

  • | Citizen TV
    1,869 views

    Mkurugenzi wa Mashtaka ya umma na mkuu wa sheria wamepewa nafasi ya mwisho kutoa majibu katika kesi iliyowasilishwa mahakamani kumtaka Naibu Inspekta Jenerali wa polisi Police Eliud Lagat kushtakiwa kwa mauaji ya mwalimu Albert Ojwang