- 3,845 viewsDuration: 1:13Kesi inayowahusisha washukiwa sita raia wa iran kuhusu ulanguzi wa dawa za kulevya, imeahirishwa hadi kesho baada ya upande wa mashtaka kutilia shaka mkalimani kuhusu stakabadhi zake na ufahamu wa lugha ya baluchi wanayozungumza washukiwa hao.