Skip to main content
Skip to main content

Mitihani ya shule za msingi na sekondari msingi yaanza

  • | Citizen TV
    2,514 views
    Duration: 4:56
    Mitihani ya kitaifa ya shule za msingi na sekondari msingi imeanza rasmi kote nchini ambapo watahiniwa milioni 2.4 watafanya mtihani huo mwaka huu. Waziri wa Elimu Julius Migos Ogamba aliongoza uzinduzi rasmi katika Kaunti ya Kericho.