Misako ya kliniki bandia za urembo

  • | Citizen TV
    742 views

    Serikali imetoa onyo kwa wafanyibiashara wa kliniki za urembo zinazotoa huduma za matibabu bila kuzingatia sheria. Katibu wa Afya Mary Muthoni akionya kuwa msako wa kliniki hizo utaendelea na zile ambazo hazitazingatia sheria zitafungwa. Alikuwa akizungumza kwenye hafla ya maafali kaunti ya Nakuru.