Viongozi waliokutana mombasa watoa wito wa amani

  • | Citizen TV
    366 views

    Viongozi wa kisiasa kutoka mrengo wa kenya kwanza wametaka wakenya kukoma kuendeleza siasa za ukabila na migawanyiko. Viongozi hao wanasema siasa za aina hii zinapandisha joto la siasa na kuwataka wakenya kuunga mkono ajenda za serikali za maendeleo. Na kama anavyoarifu francis mtalaki haya yanajiri wakati kinara wa wiper kalonzo musyoka anaendelea na ziara yake mjini Mombasa.