KUPPET na KESSHA walalamikia uhamisho wa walimu 40 kutoka kaunti ya Turkana

  • | Citizen TV
    116 views

    Viongozi wa vyama vya walimu wa sekondari nchini KUPPET na KESSHA tawi la Turkana,wamelalamikia hatua ya tume ya huduma za walimu nchini TSC, kuhamisha walimu zaidi ya arobaine kutoka shule za sekondari za kaunti ya Turkana hadi kaunti nyingine.