Msichana aliyepata B- eneo la Kakuka, Turkana, bado amekwama nyumbani

  • | Citizen TV
    585 views

    Msichana mmoja kutoka Kakuma eneo bunge la Turkana West ameshindwa kujiunga na chuo kikuu kwa kukosa karo. Msichana huyo, ANASTACIA ATABO LOKOR, ambaye aliteuliwa kujiunga na chuo kikuu cha Jaramogi Oginga Odinga baada ya kupita kwenye mtihani wa KCSE mwaka wa 2023, amesalia kufanya kazi za sulubu akitafuta karo. Cheboit Emmanuel na taarifa hiyo