Mahakama ya Mombasa yaachilia huru Mbunge Ken Chonga na viongozi wenzake

  • | NTV Video
    176 views

    Mahakama ya Mombasa imemwachilia huru Mbunge wa Kilifi Kusini Ken Chonga, Patrick Chiro Charo, na Spika wa Bunge la Kaunti ya Kilifi Teddy Mwambire baada ya kushtakiwa kwa kushiriki mkutano wa kupanga maandamano ya umma.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya