Skip to main content
Skip to main content

Rais azindua miradi ya maendeleo kaunti ya Nakuru

  • | Citizen TV
    457 views
    Duration: 1:26
    Rais William Ruto ameanza ziara ya siku tatu Katika kaunti ya Nakuru ya kuzindua miradi ya maendeleo. Alianza kwa kuzindua ujenzi wa barabara ya Kinamba kuelekea Mengich, Murionduko na Kuresoi Kasikasini pamoja na mpango wa utunzaji wa msitu wa Mau. Kadhalika rais ameongoza shughuli ya upanzi miche elfu tano katika msitu wa Mau.