- 40 viewsViongozi wakuu wa dunia wanakutana kujadili masuala ya AI mjini Paris ambako mazungumzo ya kidiplomasia yenye changamoto yanatarajiwa wakati ambapo makundi ya teknolojia yanapigania utawala katika sekta ya teknolojia inayosonga kwa kasi. Wakuu wa nchi, viongozi wa juu wa serikali, wakurugenzi wakuu na wanasayansi kutoka nchi 100 wanashiriki katika mkutano wa kimataifa wa siku mbili unaoanza leo Jumatatu. Wahudhuriaji wakuu ni pamoja na Makamu Rais wa Marekani JD Vance, katika ziara yake ya kwanza nje ya nchi tangu aingie madarakani, na Makamu wa Waziri Mkuu wa China, Zhang Guoqing. Tunaishi katika mapinduzi ya teknolojia na kisayansi ambayo hatujawahi kuyaona, Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron alisema Jumapili katika televisheni ya taifa ya Ufaransa. Ufaransa na Ulaya lazima zichukue fursa kwa sababu AI itatuwezesha kuishi vizuri, kujifunza vizuri, kufanya kazi vizuri, kujihudumia vizuri, na ni juu yetu kuiweka akili mnemba katika utoaji huduma ya binadamu, alisema. #akilimnemba #ai #ufaransa #mkutano #teknolojia #makamurais #marekani #jdvance #voa #voaswahili
Mkutano wa AI wa kimataifa wafanyika Ufaransa
- 1 May 2025 - Ukraine expects to sign a much-anticipated minerals deal with the United States in "the next 24 hours", Prime Minister Denys Shmygal said Wednesday, as both sides finalised details.
- 1 May 2025 - Israeli Defence Minister Israel Katz ordered troops to deploy on Wednesday to support firefighters battling rapidly spreading wildfires near Jerusalem, calling the situation a "national emergency".
- 1 May 2025 - US President Donald Trump said Wednesday he was considering legal action against the New York Times, in his latest attack on a major media outlet.
- 1 May 2025 - The government is revving up revenue collection efforts with increased pursuit of businesses and the creative economy to meet its tax targets. It has warned that a significant number of companies in the country risk losing their registration permits,…
- 1 May 2025 - Intrigues on Gachagua's party and fate of allied MPs
- 1 May 2025 - Atwoli: A political wheeler-dealer disguised as the workers' defender
- 1 May 2025 - Cost of living: How salaries have changed since last Labour Day
- 1 May 2025 - Trapped abroad, silenced at home: the agony of job-seeking Kenyans
- 1 May 2025 - Why you are likely to lose your land to family, not fraudsters
- 1 May 2025 - How Barrakoi six were shot dead by police as kin cry out for justice