Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya Raila Odinga, anaingia uwanjani kuminyana na wagombea wengine wawili kuwania uenyekiti wa AUC.
Tunajadilia ikiwa atapita kati kati ya Richard Randriamandrato wa Madagascar na Mahamoud Ali Youssouf wa Djibouti kuchukua nafasi ya kumrithi Moussa Faki Mahamat anayeondoka.
Haya na mengine mengi yataangaziwa kenye Dira ya Dunia TV naye Roncliffe Odit mubashara saa tatu usiku kwenye Kurasa ya YouTube ya BBC Swahili.
#bbcswahili #AUC #UmojawaAfrika
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
15 Jul 2025
- In a strongly-worded statement, Nyoro dismissed the Ministry of Energy’s explanation that attributed the fuel price surge to rising global oil prices, saying the claim does not hold up against international market data.
15 Jul 2025
- The Clerk of the Senate and Secretary to the Parliamentary Service Commission, Jeremiah Nyegenye, has been awarded Ksh.10.5 million in a defamation case against former nominated Senator Gloria Orwoba.
15 Jul 2025
- Kiharu MP Ndindi Nyoro has accused the government of misleading Kenyans over the recent fuel price hikes, claiming the real problem is not global oil prices but excessive taxation and secretive borrowing. In a statement on Tuesday, July 15, 2025, Nyoro…