Inspekta jenerali Douglas Kanja aomba mahakama itupilie mbali kesi iliyowasilishwa na LSK

  • | K24 Video
    316 views

    Inspekta jenerali wa polisi, Douglas Kanja, kupitia wakili wake Paul Nyamodi, ameomba mahakama itupilie mbali kesi iliyowasilishwa na chama cha mawakili nchini ,LSK , kuhusu watu waliotekwa nyara. Nyamodi amesema mahakama ilishaamuru kutolewa kwa amri ya kuwasilishwa kwa watu waliotekwa nyara na hivyo imekamilisha wajibu wake na hakuna haja ya amri nyingine. Nyamodi amesisitiza kuwa mateka hawajazuiliwa na maafisa wa polisi.