Miaka mingi baada ya kukeketwa wakiwa watoto, baadhi ya wanawake wanageukia upasuaji wa kurekebisha upya sehemu ya viongo vyao vilivyokeketwa
Shamsa Sharaawe alifanyiwa upasuaji wa kurekebisha uharibifu uliotokana na ukeketaji aliofanyiwa nchini Somalia akiwa mtoto
Takriban wasichana na wanawake milioni 230 duniani kote wamekeketwa kwa namna fulani.
Ukeketaji ni kitendo cha kuondoa sehemu au viungo vyote vya nje vya uzazi vya mwanamke kwa sababu zisizo za kimatibabu.
Lakini je, upasuaji huo wa kurekebisha unafanya kazi? Shamsa Sharaawe anaelezea
#bbcswahili #somalia #ukeketaji
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
15 Jul 2025
- In a strongly-worded statement, Nyoro dismissed the Ministry of Energy’s explanation that attributed the fuel price surge to rising global oil prices, saying the claim does not hold up against international market data.
15 Jul 2025
- The Clerk of the Senate and Secretary to the Parliamentary Service Commission, Jeremiah Nyegenye, has been awarded Ksh.10.5 million in a defamation case against former nominated Senator Gloria Orwoba.
15 Jul 2025
- Kiharu MP Ndindi Nyoro has accused the government of misleading Kenyans over the recent fuel price hikes, claiming the real problem is not global oil prices but excessive taxation and secretive borrowing. In a statement on Tuesday, July 15, 2025, Nyoro…
15 Jul 2025
- Murkomen described recent unrest as “raw and unprecedented terror” unleashed by what he termed “marauding gangs of looters and barefaced anarchists.”
15 Jul 2025
- President William Ruto has dismissed his political detractors, emphasizing his commitment to reducing the cost of living and enhancing food security.
15 Jul 2025
- A group of foreign envoys in Kenya has welcomed the appointment of new commissioners to the Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC) and called on them to uphold impartiality and transparency in fulfilling their mandate. In a joint…