Tamasha kubwa la muziki Afrika Mashariki na Kati limefanyika tena mwaka huu kwa mara ya 22.
Wasanii kutoka kila pembe ya Afrika ikiwa ni pamoja na wenyeji Watanzania wamekosha shauku ya mashabiki wa muziki kutoka duniani kote.
Baba Kash ni msanii wa Singeli yenye vionjo vya Mchiriku, ameieleza BBC namna Singeli ilivyo na uwezo wa kugusa mashabiki wa karibu kila mahadhi.
✍️: @sammyawami
🎥: @eagansalla_gifted_sounds
#bbcswahili #tanzania #zanzibar
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
15 Jul 2025
- In a strongly-worded statement, Nyoro dismissed the Ministry of Energy’s explanation that attributed the fuel price surge to rising global oil prices, saying the claim does not hold up against international market data.
15 Jul 2025
- The Clerk of the Senate and Secretary to the Parliamentary Service Commission, Jeremiah Nyegenye, has been awarded Ksh.10.5 million in a defamation case against former nominated Senator Gloria Orwoba.
15 Jul 2025
- Kiharu MP Ndindi Nyoro has accused the government of misleading Kenyans over the recent fuel price hikes, claiming the real problem is not global oil prices but excessive taxation and secretive borrowing. In a statement on Tuesday, July 15, 2025, Nyoro…