Karua: Wakenya wamechoka, na walimfuta kazi Rais William Ruto na watu wake mwezi Juni, mwaka wa 2024

  • | TV 47
    66 views

    "Wakenya kutoka pande zote za nchi wamechoka, na walimfuta kazi Rais William Ruto na watu wake mwezi Juni, mwaka wa 2024. Wakenya wamechoka na watoto wao kuuawa, kutekanyarwa, pesa zao kuporwa, kushindwa kupata matibabu, na kadhalika. Siasa za 2027 zitahusu Wakenya na siyo Mlima Kenya." -Martha Karua, People’s Liberation Party @MarthaKarua

    #MorningCafeTV47 #HapaNdipo

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __