- 11,814 viewsDuration: 1:54Wapiga kura zaidi ya million 37 waliosajiliwa nchini tanzania wanatarajiwa kushiriki kwenye uchaguzi mkuu leo hii. Rais Samia Suluhu Hassan anamenyana na wapinzani wenza kumi na sita kutetea wadhifa wake kwa tikiti ya chama cha mapinduzi kinachotawala sasa.